Hapo umetikiswa kidogo tu umeshaandika uzi. Sasa subiria kukosa app za Google kama Youtube ndiyo uone jinsi Marekani anavyotisha kama njaa. Anza kujifunza kichinaSimu yangu inaniambia unfortunately google update has stopped.shida nini wataalamu nifanyeje ili nitatue tatizo au ndio vikwazo vya marekani kwa kampuni ya HUAWEI.
Bora ununue Tecno tuSimu yangu inaniambia unfortunately google update has stopped.shida nini wataalamu nifanyeje ili nitatue tatizo au ndio vikwazo vya marekani kwa kampuni ya HUAWEI.
Hapa ndo mtaona ubora wa IPhone haitegemei kima yoyoteBora ununue Tecno tu
Ili kutatua tatizo lako, Kanunue Samsung.
Kwa ninavyofahamu simu zote ambazo zimeshauzwa hazihusiki na huo ugomvi, unatakiwa upate updates kama kawaida.Simu yangu inaniambia unfortunately google update has stopped.shida nini wataalamu nifanyeje ili nitatue tatizo au ndio vikwazo vya marekani kwa kampuni ya HUAWEI.
Mkuu zilizouzwa hazitapata updates na zitakazo uzwa hazitakuwa na Google apps kabisaKwa ninavyofahamu simu zote ambazo zimeshauzwa hazihusiki na huo ugomvi, unatakiwa upate updates kama kawaida.
Jaribu troubleshoot ndogo ndogo kama.
-clear cache kwenye app ya playstore/playservice
-angalia setting za internet kama ni internet na sio wap/web
-manual zi update kwa kudownload latest apk online etc.
Hivi ndo nilielewa mimiMkuu zilizouzwa hazitapata updates na zitakazo uzwa hazitakuwa na Google apps kabisa
Zinapata.Mkuu zilizouzwa hazitapata updates na zitakazo uzwa hazitakuwa na Google apps kabisa
Nipo mkuu, kwema.Aise upo kijana.
Umeiandika vizuriiPhone ndyo nini?
Iphone.Umeiandika vizuri