kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 1,996
- 5,054
Hello bosses.
Unajua app developers wengi(according to my simple research) tuna tatizo ambalo wengine husema tunakosa creativity na kugundua vitu vipya. Lkn kiukweli wengi wetu ni computer addicted kiasi kwamba hatujui watu wanataka nn coz most of the time unakuta mtu yupo bize na computers tu, ila hawi social na kujua jamii inataka nn.
So nmefungua uzi huu makusudi ili kila mtu aweze kukoment idea/wazo au tatizo ambalounataka liwe solved kwa kutengeneza app. Najua wengine mnaweza kuwa mna mawazo confidential, thats okay. Lkn kwa wale wenye mawazo yaliyoopen na ambayo yanaweza kusaidia jamii zetu basi ni bora tujuzane wakuu.
Me na admit we have skills but unfortunately we gotta no ideas naona sababu kuu ya hili ni kuspend mda mwingi na computers kuliko kukaa na watu ili kuelewa matatizo yao na kutafuta the way kusolve