Msaada app ya kuchanganya sauti

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
277
Wakuu heshima iwe kwenu
niko hapa kuomba msaada kwa anayefahamu app kwenye simu za android inayotumika kutengeneza matangazo yaani kuchanganya sauti kama vile matangazo kama ilivyo virtual dj
 
Samahan mkuu cjakuelewa.... Ina maana unataka DJ Mixer ya Android au unamaanisha nini..!?
 
ndio ila iwe na option ya kurekodi kile nitakachokuwa ninakimix kama ilivyo virtual dj
Anhaa... Ok hebu download app hii ya CROSS DJ PRO version click hapa>>>>> http://s1.rexdl.com/android/app/Cross-DJ-Pro-v3.1.3-www.ReXdl.com.apk

Hutojutia kuitumia ina kila aina ya features za u DJ kama Recording button, Fxs,Beat loops,Fade,Sound effects na vingine vingi tu utavikuta kwenye iyo Dj mixer bila kusahau Vinyl scratch.... zile scratchs za nyimbo wanazo fanyaga ma DJ..... ukikwama jinsi ya kutumia just nistue.....
 
Mkuu ninashukuru sana tena sana umenisaidia sana ila kafuraha kangu hakajakamilika vizuri naomba mwongozo wako nimefanikiwa kuchanganya sauti ila nimekwama kujua baada ya hapo ninazipatia kwenye folder gani kwenye simu.Pia nilikuwa naomba na app ya kuconvert ili ziwe zinakuwa kwenye mfumo wa mp3
 
Unazipata kwenye upande wa memory card....file music....crossfade utaziona .

Mp3 convertaa
 
Mkuu ninashukuru sana tena sana umenisaidia sana ila kafuraha kangu hakajakamilika vizuri naomba mwongozo wako nimefanikiwa kuchanganya sauti ila nimekwama kujua baada ya hapo ninazipatia kwenye folder gani kwenye simu.Pia nilikuwa naomba na app ya kuconvert ili ziwe zinakuwa kwenye mfumo wa mp3
Kupata mixes record zako.... Ingia kwenye memory card yako then search kwa kutype hivi.... CrossDj.... Ndio litakuja folder la mixes zako..
 
Anhaa... Ok hebu download app hii ya CROSS DJ PRO version click hapa>>>>> http://s1.rexdl.com/android/app/Cross-DJ-Pro-v3.1.3-www.ReXdl.com.apk
Hutojutia kuitumia ina kila aina ya features za u DJ kama Recording button, Fxs,Beat loops,Fade,Sound effects na vingine vingi tu utavikuta kwenye iyo Dj mixer bila kusahau Vinyl scratch.... zile scratchs za nyimbo wanazo fanyaga ma DJ..... ukikwama jinsi ya kutumia just nistue.....

Mkuu hii nimeitumia muda kidogo ni nzuri.
Natafuta namna ya kuplay mziki A lkn beat ya mziki B
 
Na mimi natafuta app ya kufuta maneno kwenye wimbo nibaki na beat tupu... Nawezaje kufanya hivyo wadau?
 
Kwa sim sizani hakuna! Ila kwa PC/Computer kuna program nyingi tu ila uwe professional kidogo, kuna Sony Acid hii ndio the most powerful tool inayotumika skuiz na DJs & producers katika kuunda beatz au ku sample beat kumix nyimbo, na takataka zingine kwenye music unaweza fanya ikiwemo na hiyo ya kutoa vocals ibaki beat pekee... Zipo nyingi tu...
 
Ahsante mkuu, nitaitafuta hiyo program torrent na tutorial zake YouTube.
 
Back
Top Bottom