MSAADA WA HARAKA PLEASE!!! PLEASE !!!

dimatteo

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
868
931
Habari za muda huu wana jf, Natumaini ni wazima wa Afya
Shida yangu ni moja tu! kwa yoyote ambae ana simu aina ya C2-Nokia 002....iliyokwishatumika please naomba aniuzie kwa gharama Nafuu





Ahsanteni na Mungu awabariki
 
Walio nazo hawajui kuwa unaihitaji moja kwani kichwa cha habari hakijisimamii.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom