Naomba Kujua kama Galaxy A700H ya 2015 yenye OS 6.01 Inaweza kuupgradiwa zaidi i.e kwenda 7/zaidi?
Mwisho ni hio android 6Naomba Kujua kama Galaxy A700H ya 2015 yenye OS 6.01 Inaweza kuupgradiwa zaidi i.e kwenda 7/zaidi?
Mwisho ni hio android 6
Ilikuja na android 7 now ina 9, hio ndio promise ya HMD, support ya miaka 2, wakiiupdate hapo itakuwa ni bonus tu.Je nokia 5 iko android 9 inaweza kuwa updated?