Msaada:Namba isipatikane lakini nindelee kutumia data

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,048
Reaction score
61,370
Nifanyeje nataka namba yangu hii ya tigo mtu akinipigia aambiwe haipatikani yaani asinipate lakini at the same time niendelee kutumia data zake katika mtandao
Nakala kwa CHIEF MKWAWA
 
Itoe halafu eka laini nyingine watsap utakuwa unachati na namba yako ileile
 
WhatsApp pekee ndio utaweza swala hilo. Ukipigiwa haipo hewani ila WhatsApp utapatikana. Laini uweza hata kuitupa
Nifanyeje nataka namba yangu hii ya tigo mtu akinipigia aambiwe haipatikani yaani asinipate lakini at the same time niendelee kutumia data zake katika mtandao
Nakala kwa CHIEF MKWAWA
 
Simply Divert all calls,
mfano Kama namba yako ni 0711444555 uki divert ongeza digit moja yoyote iwe 07114445556 hii namba mpya uliyo divert haitambuliki kwasababu ya idadi ya digit sio sahihi, hivyo basi mtu akikupigia simu yake itaelekezwa iende kwenye hiyo namba uliyo divert your calls, kwa kuwa namba sio sahihi mpigaji ataambiwa hakikisha namba ya simu unayopiga na ujaribu tena.
(Lipa madeni ya watu acha janja janja)
 
Wape tu TALA hela Yao.. utakuwa huruuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Messeges Zao tu wataka kuikimbia line.. je wakikutumia kikosi kazi? [emoji28]
 
Simply Divert all calls,
mfano Kama namba yako ni 0711444555 uki divert ongeza digit moja yoyote iwe 07114445556 hii namba mpya uliyo divert haitambuliki kwasababu ya idadi ya digit sio sahihi, hivyo basi mtu akikupigia simu yake itaelekezwa iende kwenye hiyo namba uliyo divert your calls, kwa kuwa namba sio sahihi mpigaji ataambiwa hakikisha namba ya simu unayopiga na ujaribu tena.
(Lipa madeni ya watu acha janja janja)
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kukariri kikosi kazi maana yake ni task force.. ukitafuta kikundi cha watu wakufanyie kazi maalumu kwa muda mfupi hiyo ni task force.. kwahiyo mwenye nyumba wako akikutafutia ma bouncer wakushinikize ulipe kodi yake hicho pia ni kikosi kazi[emoji23]
We unaonekana ni "mtumishi wa umma" eti "kikosi kazi"!
 
Acha kukariri kikosi kazi maana yake ni task force.. ukitafuta kikundi cha watu wakufanyie kazi maalumu kwa muda mfupi hiyo ni task force.. kwahiyo mwenye nyumba wako akikutafutia ma bouncer wakushinikize ulipe kodi yake hicho pia ni kikosi kazi[emoji23]
Vp mshahara NMB washatoa?
 
Unakimbia
naijatwittersavages-20190528-0001.jpeg
 
Simply Divert all calls,
mfano Kama namba yako ni 0711444555 uki divert ongeza digit moja yoyote iwe 07114445556 hii namba mpya uliyo divert haitambuliki kwasababu ya idadi ya digit sio sahihi, hivyo basi mtu akikupigia simu yake itaelekezwa iende kwenye hiyo namba uliyo divert your calls, kwa kuwa namba sio sahihi mpigaji ataambiwa hakikisha namba ya simu unayopiga na ujaribu tena.
(Lipa madeni ya watu acha janja janja)
It works perfectly..thank u kwa maujanja
 
Back
Top Bottom