Modem; 3.5G HSUPA haisomi mnara.

Modem; 3.5G HSUPA haisomi mnara.

Jay wa Jay

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
71
Reaction score
64
Habari wanateknolojia. Nimenunua modem mpya (3.5G HSUPA, 7.2Mbps), SIMCARD inadetect, tatizo lake mnara hausomi (inaandika x sehemu ya bars za mnara). Nini suluhisho la tatizo hili? Natanguliza shukrani.
 
Angalia kwenye setting fungua kipengele cha nertwork kisha kama ipo 3g onl chagua 3g and auto itasaidia pale panapokua hamna mawim i ya 3g itachagua mawimbi ya 2g etc ila ikibaki 3g only kama hamna mawimbi ya 3g mnara wa network unakata
 
Pia kuna modem zinakuwa locked na mtandao fulani tu. Angalia logo kwenye hio modem kuujua mtandao husika.
 
Hivyo vi modem huwa vibovu sana na mtandao ambao huwa wanasema unafikia speed sio kweli. Nafuu kutafuta modem za voda, airtel or tigo na uchakachue
 
Back
Top Bottom