Nataka kununua drone mwezi ujao naomba maoni yatakayo nisaidia kumiliki drone nzuri

cilla

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
618
500
Ndugu zangu nataka kununua drone mwezi ujao naomba maoni yatakayo nisaidia kumiliki drone nzuri kwaajili ya biashara.
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,573
2,000
Ndugu zangu nataka kununua drone mwezi ujao naomba maoni yatakayo nisaidia kumiliki drone nzuri kwaajili ya biashara.
Natumaini unahitaji kwaajili ya photographing , na sio kwaajili ya kuchezea. Drone zipo za aina nyingi kuanzia za kujifurahisha, za watoto , za kupiga picha za binafsi na za kupiga picha na video za kibiashara yaani professional. Nenda pentagon wapo dar watakushauri. Pia kuna jamaa mmoja yupo vizuri sana mambo ya shooting naweza kukupa link yake Facebook anaweza pia kukushauri.
 
Ndio nikwaajili ya biashara ya video shooting.Nipe link yake huyo mtaalam
 
Mr. Mobile

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,428
2,000
Ndugu zangu nataka kununua drone mwezi ujao naomba maoni yatakayo nisaidia kumiliki drone nzuri kwaajili ya biashara.
Kabla ya yote zingatia yafuatayo:

• Ubora wa drone
•Upatikanakanaji wa spare parts na accessories kama:- landing gear, motor, propeller, propeller guard, battery, and so on
•Ubora wa picha, zipo hadi zenye ku support 4K resolution. Uwezo wa umbali itakayopaa angani na uwezo wa wewe kuicontrol, pia muda gani itadumu na chaji iwapo angani
•Bei
-bei zinatofautiana kulingana na ubora, lakini ukitaka prossional drone andaa $500 na kuendelea.
-21061566381106536855.jpeg
-21061566381408627749.jpeg
 
cilla

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
618
500
Serikali Imepiga Marufuku Matumizi Ya Drone Bila Kibari
Fuata Taratibu Kwanza Ndiyo Uitumie
wewe umeulizwa swali badala ya kujibu unaanza kuleta ujuzi wako ,kwani lazima ukoment? Hapa hukuulizwa mambo ya kibali.
 
cilla

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
618
500
Kabla ya yote zingatia yafuatayo:

• Ubora wa drone
•Upatikanakanaji wa spare parts na accessories kama:- landing gear, motor, propeller, propeller guard, battery, and so on
•Ubora wa picha, zipo hadi zenye ku support 4K resolution. Uwezo wa umbali itakayopaa angani na uwezo wa wewe kuicontrol, pia muda gani itadumu na chaji iwapo angani
•Bei
-bei zinatofautiana kulingana na ubora, lakini ukitaka prossional drone andaa $500 na kuendelea. View attachment 1107300 View attachment 1107301
Asante sana Mungu akubariki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom