Ni kitu gani nahitaji ili kuanzisha biashara ya website na software development?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,786
Reaction score
35,761
Habari wana JF?

Hili ni wazo nimekua nalo kwa muda kidogo, ila nilihitaji kujua ni vitu/mambo gani ninahitaji kuwa nayo ili nianzishe biashara ya website na software development?

Nilihitaji katika hii biashara/kampuni niwe natoa pia huduma za graphics design ikiwa ni pamoja na ku design business cards, logo, t-shirts na mengine kama hayo!

Je ni vitu vipi nahitaji katika mazingira haya ya kitanzania ili niweze kuanzisha biashara kama hiyo?
 
Unaongelea website and software development alafu unaleta mambo ya business cards na tshirts?
Hivyo vitu hata havikaribiani, na hiyo biashara ya business cards na tshirts sikushauri, ni market saturated sana mtaishia kugombania wateja. Software development bado inalipa ila kama huna experience yoyote na development utapata tabu sana kuanzisha software company maana hujui in and out za kudesign software, itakua ngumu kampuni kukuamini kukupa kazi hiyo. Unaweza ukaanza kwa ujanja unatafuta companies zinazohitaji software alafu uka-outsorce kwa developers wengine wakakutengenezea alafu ukacharge cha juu.
 
anayekuambia graphics haziendani hapo nakataa,Graphics ni part ya Computer Science and almost utahitaji Pc and Softwares kuanza kazi.Graphics inalipa sanaa mkuu,usiishie tu kwenye logo jiongeze mpaka kwenye branding,fliers,brochure etc ukiweza piga mpaka motion graphics and Animation pia mkuu.
The mostly important nadhan ni kutenganisha vitengo vijitegemee.Sisi tunafanya Mobile App,Website and System development and Graphics Design,lakini kila kitengo kina expert wake japo kuwa mnaweza kuwa wote mnajua.
 
Hiki ndio nilikua nawaza hata mimi kila part iwe na section yake maana hata web design inafanywa na watu wa graphics then wanawakabidhi watu programming ili waitengeneze! So kuna uhusiano!!
 
Unaongelea website and software development alafu unaleta mambo ya business cards na tshirts?
Hivyo vitu hata havikaribiani, na hiyo biashara ya business cards na tshirts sikushauri, ni market saturated sana mtaishia kugombania wateja. Software development bado inalipa ila kama huna experience yoyote na development utapata tabu sana kuanzisha software company maana hujui in and out za kudesign software, itakua ngumu kampuni kukuamini kukupa kazi hiyo. Unaweza ukaanza kwa ujanja unatafuta companies zinazohitaji software alafu uka-outsorce kwa developers wengine wakakutengenezea alafu ukacharge cha juu.
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu
 
anayekuambia graphics haziendani hapo nakataa,Graphics ni part ya Computer Science and almost utahitaji Pc and Softwares kuanza kazi.Graphics inalipa sanaa mkuu,usiishie tu kwenye logo jiongeze mpaka kwenye branding,fliers,brochure etc ukiweza piga mpaka motion graphics and Animation pia mkuu.
The mostly important nadhan ni kutenganisha vitengo vijitegemee.Sisi tunafanya Mobile App,Website and System development and Graphics Design,lakini kila kitengo kina expert wake japo kuwa mnaweza kuwa wote mnajua.

Graphics design ni application ya computer ila sio part ya computer science, ipo kwenye arts. Nimesoma computer science usitudanganye.
 
mzee naongea kama kama Computer Scientist piaa
 
Graphics ya CS ni ile ya kufanya Modeling na Ku apply Physics inayotumika kwenye VR au Gaming na mengine kama hayo. Huko unatumia DirectX au OpenGL

Haina uhusiano na hii ya Photoshop, After Effects et al. Hizo ni tools za artists.
 
mzee naongea kama kama Computer Scientist piaa
CS umesomea wapi wanapofundisha kutengeneza business cards na fliers? nataka nije niepuke kupeleka watoto wangu in the future.
 
Mtoa unazungumzia utengenezaji wa programu kwa kutumia:-
blogspot
wordpres
joomla

na kubadiri blog kwenda android app??

Mtu huyu Graph anazungumzia kampuni ya programu ambayo itajikita kutengeneza programu kubwa kushindana na soko.
 
Aliyepo mwanza na anataka ajifunze au anahitaj mtu wa graphics ani PM 0759141618
 
Back
Top Bottom