Update system imegoma, naombeni msaada.

Update system imegoma, naombeni msaada.

Charles Gerald

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
1,405
Reaction score
1,847
Simu yangu system update yake imegoma. Inaniambia hivi .naombeni msaada jinsi ya kutatua shida hii
Screenshot_2019-05-26-20-17-45.jpeg
 
Weka aina ya simu mbona unaruhusu maswali yawe mengi kuliko msaada.
 
Kinachoonekana kwenye picha ulioweka mbona hakihusiani na system update? Halafu pia kwa network ya 2G ni utata kidogo
 
Back
Top Bottom