Simu za budget ya Laki?

Simu za budget ya Laki?

buffalo44

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2016
Posts
5,129
Reaction score
13,119
Wakuu salaamu.

Nimekuja kwenu kujua naamini humu kuna maduka ya simu na waliowahi kununua. Kuna ndugu zangu huko mkoani wanataka wamiliki shida wametuma vilaki. Nipo busy kidogo naomba kujua ni zipi ili niingie dukani nimalize shughuli moyo utulie.


Thanks in advance
 
Wazolee vitecno techo vya kutosha kariakoo unaweza changanya na Itel
 
Back
Top Bottom