KHEE IPHONE

KHEE IPHONE

Yedder

Member
Joined
May 5, 2019
Posts
75
Reaction score
58
Habari za mchana wapendwa hongereni na swaumu kwa waislamu wenzangu
Nina iPhone yangu ilizima gafla tu nikapeleka kwa fundi akaniambia ni betri nikanunua betri lakini haikuwaka mpka akaiboost kwenye mashine ikawa ilovyokaribia kuisha chaji nikaichaji chaji haiingii ikazima mazima
Naomba mwenye idea ya iPhone je ttzo litakuwa nini [emoji120]
 
Fundi wako ndo ana idea zaidi maana yeye ndo anajua alichoifanyia hadi ikawa hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom