The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,505
- 14,978
Wakuu poleni na majukumu, nahitaji kununua PC nimekutana na hi kwa 600k vipi iko poa ama kimeo.
Specifications...Wakuu poleni na majukumu, nahitaji kununua PC nimekutana na hi kwa 600k vipi iko poa ama kimeo.
Hiyo bei ni kubwa sanaSpecifications...View attachment 1108423
Achana nayo mkuu, kama ni Amd iwe Ryzen series tofauti na hapo usinunue 2019.Specifications...View attachment 1108423
Mkuu kuna huu mzigo unauzwaWakuu poleni na majukumu, nahitaji kununua PC nimekutana na hi kwa 600k vipi iko poa ama kimeo.
Budget yangu ni 600k mkuuMkuu kuna hpMkuu kuna huu mzigo unauzwa
HP ENVY 14 Sleekbook
CPU: 4th generation Intel[emoji2400] Core[emoji769] i7-4500U Processor (1.8GHz, SC turbo up to 3.0GHz) (15W)
RAM: 10GB DDR3
GPU: intel HD graphics
Sotorage: 1TB (128GB Solid State Drive Flash Module (mSATA SSD (128GB)) , Hdd 950GB)
OS : Windows 10
Condition: Used
Bei 750k
Nisaidie mashine gani naweza pata amboyo ni quality nzuri kwa 600kAchana nayo mkuu, kama ni Amd iwe Ryzen series tofauti na hapo usinunue 2019.
Kwa hio bei unapata used i3 6th gen.
Jamaa naona alitaka kuniingiza mjiniHiyo bei ni kubwa sana
Cjainunua sema nilikua kwenye processSioni kitu
Hhh..mkuu sa si bora ile nlyopost ukapotea mazima,Specifications...View attachment 1108423
Mkuu apa vipiamekuibia kbs
Mkuu apa vipi?Achana nayo mkuu, kama ni Amd iwe Ryzen series tofauti na hapo usinunue 2019.
Kwa hio bei unapata used i3 6th gen.
Bas hii huiwezi mkuu chuku hizo hizo za AMD processorBudget yangu ni 600k mkuu
Hapa pia hakuna kitu mkuu, unless lengo lako ni laptop isiyokula umeme na inayokaa na chaji.Mkuu apa vipi?View attachment 1109134