Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hello guys tafadhali mwenye kufahamu wapi nntapata spair ya SAMSUNG FLAT TV inch 32 na Bei yake naomba nijulishwe nntaipataje nipo GEITA Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
0 Reactions
5 Replies
903 Views
Wadau mwenyewe kujua materia gani yanaweza kusafisha renzi ya camera ya sm Tatizo renzi ilibanduka mda wa kurudishia fundi akatumia super glue kwaiyo renzi ikaweka ukungu kwenye kilo cha camera...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Jamani naomba mnisaidie jambo moja, shida yangu ni kwamba namba yangu ya halotel ninayoitumia katika mawasiliano imekuwa na tatizo yaani kila anaejaribu kunipigia inajitaka yenyewe kwake na wakati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello wanatech Kuna mwenye hicho kifaa hapo. Na ulipata wapi na kwa bei gani? Vipi kimatumizi kipo poa? Cc Chief-Mkwawa
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Watafiti wa masuala ya usalama katika kompyuta wamekgundua kuwa kuna applications zilizopakuliwa kupitia Playstore zinazofungua matangazo bila ya mtumiaji wa simu kutambua Application hizo...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Najiuliza sipati jibu. Je lengo la kampuni ya Samsung ni kutaka hizi simu zao high ends zisitumiwe na watu wenye miili midogo au ni nini? Kuanzia Note 8, Note 9, Galaxy S9, S10 sasa S10+ hizi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba mbinu za kuongeza speed ya Internet, wadau.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Tangazo Tangazo Tangazo tunatoa huduma bora nanzuri kabisa Kama vile; [emoji1010] Services Offered [emoji404] Typings [emoji273] website design [emoji273] Promoting and Website host and develop...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Leo Natoa Ofa uliza swali lolote kuhusu KOMPYUTA.... matatizo au ujuzi wowote.. na nikuelekeze Hapa chap.... [emoji39][emoji39]
0 Reactions
4 Replies
800 Views
et jaman nlikuwa na uliza je m-pesa mastercard unaweza kuitumia kupokea pesa kutoka nje na kwenye mitandao kama youtube ama haiwezekani.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Check out this android app and tell me what you think. 254 Vibe For the best Memes and short clips. https://a254vibe.page.link/u9DC
0 Reactions
1 Replies
665 Views
*****†********
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Nimesahau nimeiacha wapi ila nikipiga inaita je, nifanya kujua iko wapi? sikuwasha location on so kwenye google haionekani.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba kuuliza mawezaje ku-download na ku-install Bluetooth kwenye pc yangu manake haionekani kabisa yan
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu, wapenzi wa nyimbo za kikatoliki karibuni kupakua app bomba za ku download Nyimbo mpya za kikatoliki https://play.google.com/store/apps/details?id=comtz.app.nyimbozakatoliki Au tumia hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawezaje kuondoa hii read only kwenye flashdisk?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Salam wadau wote Ni Hivi simu yangu techno y2 kila nikiizima na kuwasha meseji za zamani zina jirudia yaani kitendo cha kuzima na kuwasha tu meseji za miezi 6 iliyopita zinaingia nimejaribu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana JF Naomba formula ya kuondoa divert number ya kujiunga ni *21*number # nataka kujiondoa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalamu wa GB whatsup naombeni msaada hivi nilikuwa ninatumia GB whatsup niliipata sasa wiki mbili sijaitumia nimekuja kuingia nakuta neno your version is old please download kila nikijaribu...
0 Reactions
4 Replies
902 Views
nilitembelewa na ndugu hapa tanzania aliekuwa akitokea kwa obama,kwa kuwa simu zao hazina sehemu ya kupachika laini ilimbidi anunue simu mpya,baada ya kununua simu hiyo nilimpatia laini yangu ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…