Msaada: Jinsi ya kublock Simu iliyoibwa

Msaada: Jinsi ya kublock Simu iliyoibwa

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,665
Wakuu nimeibiwa simu aina ya Samsung Galacy A9+.
Sikuwahi kutunza IMEI yake na wala siijui, je nawezaje kuifanya useless ili aliyeiiba asiweze kuitumia?
Msaada please.
 
Hakuna unachoweza kufanya hapo mkuu,hico unachotaka kufanya ulitaka ufanye maandalizi yake kabla ya kuibiwa,ili ikiibiwa uweze kuiblock...
 
yaani unavyozidi kupoteza mda, ndivyo mwizi anazidi kuwapigia ndugu na jamaa zako kuomba pesa kua umepata matatizo
nenda kablock line , achana na simu
 
Kama una samsung account na ilikua signed in ingia kwenye hiyo link ukishasign in utaiona simu yako kwenye map na imei ya simu itaonekana . Pia kuna option nyingine kama kuilock , kureset sim nk. Niliwahi kutumia njia hii kuipata simu yangu iliyopotea

 
Wapigie mitandao husika wablock line, ili kulinda matumizi mabaya ya line zako
 
Hutaipata hata Huna Imei then unataka kutafuta namna ya kuiblock.... Bora ingekuwa Iphone angeenda kuitupa... Samsung unsiishusha jumla jumla
 
Wakuu nimeibiwa simu aina ya Samsung Galacy A9+.
Sikuwahi kutunza IMEI yake na wala siijui, je nawezaje kuifanya useless ili aliyeiiba asiweze kuitumia?
Msaada please.
Nunua sim nyengine
 
Wekeni pin kwenye sim card ili hata simu ikiibiwa ndugu wasisumbuliwe
 
Wekeni pin kwenye sim card ili hata simu ikiibiwa ndugu wasisumbuliwe
Hili la muhimu ila what if umepata matatizo barabarani ghafla? Na Tayari umetia lock Sim Cards
 
Kwa sasa jipange ununue simu nyingine tu
 
Ingia kwny email yako angalia device zilizoaccess email yako utakutana na IMEI yako...anzia apo kutafuta hyo simu.
 
Back
Top Bottom