Pole mzeeHabari wakuu,
Simu yangu samsung j4 (pichani) imepasuka kioo,imepasuka camera ya nyuma, je inaweza kutengenezwa? Naomba kujuzwa gharama yake inaweza kuwa kiasi gani?View attachment 1165289
Tusubiri wajeHabari wakuu,
Simu yangu samsung j4 (pichani) imepasuka kioo,imepasuka camera ya nyuma, je inaweza kutengenezwa? Naomba kujuzwa gharama yake inaweza kuwa kiasi gani?View attachment 1165289
Habari wakuu,

Nashukuru wakuu, nimerekebishiwa kwenye duka la samsung kwa sh 15,000
😂 😂 😂 😂ulikuwa kwenye purukushani za kubaka?
Duka la samsung la wapi? Mana na mi nna s4 yngu inazngua kinoma mpk nimeamua kuipaki homNashukuru wakuu, nimerekebishiwa kwenye duka la samsung kwa sh 15,000