Kiwangwa Son
Senior Member
- Nov 29, 2018
- 178
- 115
Wakuu habari za muda huu, naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu inasumbua sana yani ni nzito kiasi ambacho hata kufungua files ina delay kwa muda ndio ifunguke natamani kuivunja.
Kutokana na bajeti yangu nikaona ninunue hii simu angalau lakini imekua mzigo labda sijui ni kwa sababu ya zamani sana
Nimeshawahi kuireset mara mbili nikaireboot kwa kutumia njia za kuminya buttons ila bado.
Hapa nafikiria kui flash sijui kama itasaidia au naombeni msaada wakuu.