Ushauri wa Bure kwa wanaopenda kufanya manunuzi online

Wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta bank bora kwa ajili ya kuweza kufanya online shopping
Msihangaike tena bank abc na uba wanatoa card za bank ambazo tayari zimewezeshwa kutumia hio huduma ukienda unajaza fomu unalipa elf 15 tu unapewa sio lazima uwe na account
sasa mkuu utafanyaje shughuli zako za kibenk kama huna kadi? maana sio utafanya shughuli za online tuu pia hata nyingine
 
Kwahiyo mkuu,hapo hapahitajik documents zozote ktk kupewa kadi na inachukua muda gani kupata kadi?
 
Wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta bank bora kwa ajili ya kuweza kufanya online shopping
Msihangaike tena bank abc na uba wanatoa card za bank ambazo tayari zimewezeshwa kutumia hio huduma ukienda unajaza fomu unalipa elf 15 tu unapewa sio lazima uwe na account
sawaa tangazo lako limefika nimeacha kufanya manunuzi online kutokana na TRA kutaka kodi
 
Wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta bank bora kwa ajili ya kuweza kufanya online shopping
Msihangaike tena bank abc na uba wanatoa card za bank ambazo tayari zimewezeshwa kutumia hio huduma ukienda unajaza fomu unalipa elf 15 tu unapewa sio lazima uwe na account
Naomba kuuliza mkuu nikilipia hiyo ya 15,000 ambayo nio ya Tsh. naweza kulipia bidhaa ambayo inauzwa kwa usd? au itabidi niwe na kadi ya usd ili kulipia bidhaa zinazouzwa kwa usd?
 
Ni bora ufungue account tu ndio utaenjoy vizuri coz ukiwa na kadi hauwez kudeposit kwa sim banking(tigopesa) inakubidi uende benk ila ukiwa na account ni rahisi tu.....
Pia huwez pata huduma ya Internet Banking ukiwa na card so ni bora uwe na account...

Mimi pia nina account Banc ABC naenjoy service zao
 
Mi nimefungua na EQUITY wako vizuri pia, ndan ya muda mfupi tu kadi yako inakua tayari kutumika
 
Nahisi nimeelewa kama itakua inafanya kazi kama visa au master cards. Swali ni moja ni kwamba ntaweza kununua hata website za nje ya nchi? Mfano kununua vitabu. Natamani kupata sana hii huduma
 
Ni bora ufungue account tu ndio utaenjoy vizuri coz ukiwa na kadi hauwez kudeposit kwa sim banking(tigopesa) inakubidi uende benk ila ukiwa na account ni rahisi tu.....
Pia huwez pata huduma ya Internet Banking ukiwa na card so ni bora uwe na account...

Mimi pia nina account Banc ABC naenjoy service zao
Ningependa kukujua, naweza fungua bila kwenda bank
 
Back
Top Bottom