proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,481
- 1,356
Hello ,wadau huwa nashangaa sana kwenye taasisi kama hizi zinazoweka namba za simu ya mkononi kwenye website zao halafu unawapigia zaidi ya mwenzi mzima hawapokei ,huwa wanamatatizo gani? Nimejaribu kufanya utafiti kwenye website nyingi za umma namba za simu zilizowekwa huwa hazipokelewi ukizipiga mfano hawa wanaojiita tznic zaidi ya mwezi sasa simu inaita wala haipokelewa ,sasa najiuliza huwa wanaweka hizi namba ya ajili ya nini au ni mapambo ya website zao?