sanga misuka
Member
- Aug 24, 2017
- 49
- 61
Naombeni msaaada simu yangu tecno w2 ina matangazo mengi sana kila napofungua data
Tatizo hili ni kero sana yani unakuta ads zinarundkana kila napotaka kuingia au nikiingia kwenye browser,apps au Google. Nifanyej ili zipungue au zisitokee tena