Masada:-Simu yangu ya Tecno C9 inachelewa kuwaka

Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,165
2,000
Kwa wenye kufahamu tafadhali simu yangu ya Tecno C9 miezi miwili iliyopita ilikuwa imepata tatizo la kuwaka hadi pale inapoandika neno Hios optimizing 1 app of 1,bila kuendelea na itakaa hapo mpaka izime,nikaipeleka kwa fundi wa simu akaiflash.
Sasa yapata siku ya tano nikiwasha inachukua muda mrefu kufunguka ikifikia kwenye neno Camon itakaa hilo neno kwenye screen kwa zaidi ya dakika 30 hadi saa nzima ndipo inafunguka.
Na ukigusa app ya My Picture inazima na kuanza kufunguka(restart) hivyo kwa muda mrefu.
Naweza kufanya nini kwa wenye uzoefu ili iweze kurudi kawaida.
 
Mtoboatonge.

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
206
225
Yangu ilianza kuzingua hivyo. Yaani ukiwasha inaandika Hios optimizing 1 app of 1. Niakaifomat tatizo likaisha kabisa
 
Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,165
2,000
Yangu ilianza kuzingua hivyo. Yaani ukiwasha inaandika Hios optimizing 1 app of 1. Niakaifomat tatizo likaisha kabisa
Kuna tofauti ya ku restore na ku format,kwani nilirestore lakini tatizo bado lipo
 
GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,151
2,000
Simu nyingi siku hizi ukiformat unakutana na kitu kinaitwa FRP.
 
ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,200
2,000
Mkome mie nina mwaka kabisa sijawahi restore simu yangu wala kuniletea zongo asee VIVA SAMSUNG MOBILE
 
Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,665
2,000
Kwa wenye kufahamu tafadhali simu yangu ya Tecno C9 miezi miwili iliyopita ilikuwa imepata tatizo la kuwaka hadi pale inapoandika neno Hios optimizing 1 app of 1,bila kuendelea na itakaa hapo mpaka izime,nikaipeleka kwa fundi wa simu akaiflash.
Sasa yapata siku ya tano nikiwasha inachukua muda mrefu kufunguka ikifikia kwenye neno Camon itakaa hilo neno kwenye screen kwa zaidi ya dakika 30 hadi saa nzima ndipo inafunguka.
Na ukigusa app ya My Picture inazima na kuanza kufunguka(restart) hivyo kwa muda mrefu.
Naweza kufanya nini kwa wenye uzoefu ili iweze kurudi kawaida.
Fanya factory reset.
 
Abx

Senior Member
Oct 16, 2012
137
225
Tembelea watoa huduma wao ukaweke software nyingine, hayo masimu ndo yalivo
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
22,616
2,000
Simu nyingi siku hizi ukiformat unakutana na kitu kinaitwa FRP.
Frp na anachosema mleta uzi ni deal mbili tofauti.

Mleta uzi suluhisho hapo ni kuiflash tena na kuinstall software inayoendana na simu yako, rudi kwa huyo huyo fundi kama hautaki kutumia pesa zaidi maana atakua anamalizia marekebisho aliyoyaanza.

Au nenda duka la tecno, kama upo Dar nenda pale kwenye sanamu la Bismini halafu muulize mtu yeyote duka lilipo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom