Mwenye ufahamu kuhusu ram

Mwenye ufahamu kuhusu ram

Status
Not open for further replies.

Tony-stark

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2019
Posts
1,020
Reaction score
1,348
Kama kichwa kinavyojieleza
Mimi ni mpenzi sana wa games Ila katika kucheza games baadhi ya game zinakuwa Kama zina gandanda hivi niikambiwa ram ni ndogo kwa bahati mbaya Sina ufahamu wowote juu ra ram,
Ram yangu ni 4gb nataka niongeze iwe 8gb Kama Kuna mdau yeyote anayefahamu naomba anifahamishe

*4gb ram ni bei gani?
*Je Kuna aina ngapi za ram au ni aina moja tu?

Natumia laptop

🙏🙏🙏🙏
 
Umenikumbusha kale ka mchezo ka kuambiana "ganda" hapo unaganda hauna namna mpaka uambiwe "ganduka"

Basi mimi nlikua nikiambiwa "ganduka" muda huohuo alienigandisha namwambia na yeye agande ila ndo simgandushi mpaka kwao wamuite.

Nahitaji msaada wenu wadau.🙏🙏🙏🙏
 
Umenikumbusha kale ka mchezo ka kuambiana "ganda" hapo unaganda hauna namna mpaka uambiwe "ganduka"

Basi mimi nlikua nikiambiwa "ganduka" muda huohuo alienigandisha namwambia na yeye agande ila ndo simgandushi mpaka kwao wamuite.
😂😂😂😂Nimekuelewa.
 
Watu badala ya kumsaidia mtoa mada kuhusu alichhouliza wanaleta story za abunuasi[emoji23][emoji23]

NB: sio kila uzi lazima uchangie
 
Tatizo laweza kuwa graphics/video card. Watu hua wanakimbilia ram lakini kazi ya RAM ni kuhifadhi data zinazofanyiwa kazi muda huo huo. Mfano wa kazi ya RAM ni unapofungua panes tofauti tofauti ila kila unaposwitch pane unakuta process ulioacha inaendelea. Kwa usahihi kuhusu games, angalia system requirements utajua nini kinahitajika
 
Kama kichwa kinavyojieleza
Mimi ni mpenzi sana wa games Ila katika kucheza games baadhi ya game zinakuwa Kama zina gandanda hivi niikambiwa ram ni ndogo kwa bahati mbaya Sina ufahamu wowote juu ra ram,
Ram yangu ni 4gb nataka niongeze iwe 8gb Kama Kuna mdau yeyote anayefahamu naomba anifahamishe
*4gb ram ni bei gani?
*Je Kuna aina ngapi za ram au ni aina moja tu?
Natumia laptop
🙏🙏🙏🙏
Mkuu kama unapenda games tafuta platforms nyingne kama PlayStation au Xbox hzo gaming PC hutaziweza.
Kwanza nyingi huwa custom made halafu zinataka mambo kibao kama
Graphic card hii ni tofauti na video card na iko essential kwa kila gaming PC unayoiona na zina motherboards zake special.Processors hiki ni kitu muhimu sana kwenye games,RAM inatakiwa minimum kuanzia gb8 na kuendelea na vitu vingine kama cooling systems
Vingine jaribu kutafta info hata mitandaoni utajua zaid
 
Tatizo laweza kuwa graphics/video card. Watu hua wanakimbilia ram lakini kazi ya RAM ni kuhifadhi data zinazofanyiwa kazi muda huo huo. Mfano wa kazi ya RAM ni unapofungua panes tofauti tofauti ila kila unaposwitch pane unakuta process ulioacha inaendelea. Kwa usahihi kuhusu games, angalia system requirements utajua nini kinahitajika
Well said mkuu, hapo definetly tatizo itakuwa ni graphics card yake
 
Mkuu kama unapenda games tafuta platforms nyingne kama PlayStation au Xbox hzo gaming PC hutaziweza.
Kwanza nyingi huwa custom made halafu zinataka mambo kibao kama
Graphic card hii ni tofauti na video card na iko essential kwa kila gaming PC unayoiona na zina motherboards zake special.Processors hiki ni kitu muhimu sana kwenye games,RAM inatakiwa minimum kuanzia gb8 na kuendelea na vitu vingine kama cooling systems
Vingine jaribu kutafta info hata mitandaoni utajua zaid
Asante kwa mchango wako mkuu🙏🙏🙏
 
Wa
Watu badala ya kumsaidia mtoa mada kuhusu alichhouliza wanaleta story za abunuasi[emoji23][emoji23]

NB: sio kila uzi lazima uchangie
Walidhani Mimi ndio tony Stark mwenyewe 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
😂 😂 😂 labda aliwai tengeneza iron suit ya kwanza kwenye mapango ya koromije uko
😂😂🤣🤣🤣Niliwahi tengeneza suit ya vitambaa kwenye mapango ya amboni😂😂😂😂😁
 
Ni
Mkuu kama unapenda games tafuta platforms nyingne kama PlayStation au Xbox hzo gaming PC hutaziweza.
Kwanza nyingi huwa custom made halafu zinataka mambo kibao kama
Graphic card hii ni tofauti na video card na iko essential kwa kila gaming PC unayoiona na zina motherboards zake special.Processors hiki ni kitu muhimu sana kwenye games,RAM inatakiwa minimum kuanzia gb8 na kuendelea na vitu vingine kama cooling systems
Vingine jaribu kutafta info hata mitandaoni utajua zaid
Ninayo ps 3
 
Asante kwa Kila aliyechangia uzi huu.🙏🙏🙏

By the way I am IRON MAN 🤨🤨🤨

😂😂😂🤣🤣🤣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom