Wakuu naomba kuuliza,nimebadilisha simu baada ya simu yangu ya awali kukataa kuwaka,hivyo nimefungua account ya whatsApp kwenye hii simu mpya kwa namba ile ile ya kwanza,changamoto ni kuwa...
Source: http://mtanzania.co.tz/mtafiti-abuni-kitasa-kinachofunguliwa-na-simu/
CHRISTINA GAULUHANGA – DA ES SALAAM
Mtafiti kutoka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Filbert James, amebuni...
Habari za muda wakuu,
Nimejaribu kulipia moja ya post yangu ya kwenye page ya facebook ili iwafikie watu wengi zaidi ila inaandika [emoji116][emoji116][emoji116]....Je nifanyaje au tatizo nini...
Habarini wana tech.
Naombeni msaada wa namna ya kutengeneza database itakayokuwa na taarifa za wanafunzi wote.
Nina ufahamu kiasi chake na excel.
Je nitumie application na namna rahisi ya...
jinsi gani ninaweza kuondoa (disk read error) wakati wa kupiga window kwa njia ya flash...maana ni shidaa sana
pia kompyuta yangu...hujuizima pindi Niki (restart) tatizo nini...msaada wataalamu...
habari wanajamiiforums ,nna simu tecno w4 nikiiwasha inaandka tecno af inazma ukiwasha tena bado inakua ivo ivo,nmejarbu kuifanyia hard reset ila bado n vile vile
Sijuagai developer wengi wa TZ tunashida gani, Tunaishia kutegeneza vi-blog tuna ng'ang'ana na GOOGLE ADs , Website za shule na taasisi na vi-system vya pharmac na HR tunapewe ela za kujikim...
Yaani uvumilivu umenishinda. Nimesubiri 4G internet ya Airtel mpaka nimechoka. Simu zangu zimekuwa zina support matumizi ya internet ya 4G, lakini Airtel wamenifanya nizitumie kwa udogo.
Nihamie...
Wakuu habari za majukumu nimekuwa nikipata notification kwenye twitter za watu mbalimbali lakini kuanzia Jana nimeshindwa kupata notification yoyote,nilijaribu google nikaambiwa niende kwenye...
iPhone inauzwa ni iphone 6S+ GB 64
Offer yangu ni kwa 450 Tu location Dar unakuja tunaonana ukiridhika nayo unaichukua No Exchange Kwa anae hitaji Aje PM...
Multiplexer ni kifaa ambacho kazi yake ni kuchagua ingizo moja kati ya maingizo mengi katika mfumo wake.
Multiplexer hua ni kifaa chenye maingizo mengi(inputs),ambapo input hizo zinakua kila moja...
Habari za muda huu wadau,
Niombe msaada yeyote anayeweza kunisaidia namna ya kufahamu/kupata password (numeral) niliyoisahau. Kuna taarifa mhimu nimehifadhi humo hivyo nimeshindwa kufungua...
Habari wakuu wa mjengoni, natumai mpo frexh na mishe mishe za kila siku,
Niende moja kwa moja kwenye pont:
Naam, ebana katika dunia ya sasa teknolojia imekuwa ni kipaumbele katika sekta nyingi...
Habari cm yangu inashindwa kuinstall app na ukidownload video au audio inaandka memory full wakati kuna free space 400mb nimejarb clear cache na clear data kwenye play store bado inagoma wakuu...