Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

kuna baadhi ya video ambazo zinapostiwa hapa jamiiforum,napojaribu kuziplay kwenye hii simu yangu hazikubali,natumia samsung note 9,wajuzi nifanyeje?
1 Reactions
2 Replies
874 Views
Nisiwe na maneno mengi sana Wataalamu wa haya mavitu hebu nisaidieni kdg, ipi ni bora kumzidi mwenzie in 2019?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana jf sorry Nina changamoto kwenye Instagram account yangu, yani mtu akinitumia message private ,I mean direct messege (DM) kila nikiifungua naambiwa mtandao uko chini hali ya kua mtandao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Dunia inaenda kasi sana na teknolojia ndiyo imeshika hatamu. Mimi natamani wale wataalamu wa Coding hasa JAVA tukutane hapa kusaidiana skills za hii Program. Naamini baada ya muda tutakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa, hivi website ikiwa Multi-language na Geolocation(mfano site ni www.mysite.com, akiifungua mtu alie burundi itafunguka katika lugha ya French na content za burundi, akifungua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Rafiki yangu ana laptop hiyo ya Compaq CQ70 ambazo zilitoka miaka ya 2010 hivi. na imeharibika chasis ( namaanisha ile frame ya nje toka kwenye kioo na pia chini kwenye motherboard) vitu vingine...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Wadau habari nilikuwa nataka kubadilisha simu sasa nilikuwa nataka kununua simu ya aina ya google pixel xl naomba mawazo hapa hizi simu ni nzuri au,kikubwa nachopendea hizi simu ni camera yake na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani napenda kuwauliza kuhusu kutumia CPU moja kwenye monitors tofauti ili kila moja ili kila client aweze ku access services mbalimbali make hapa nipo hapa nataka kufungua internet cafe msaada...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii Printer nimetumia ujuzi wangu wote nimefail, nikiangalia nimeshapiga window 8.1 kabla ya kufanya updates yoyote ile hata ya drivers niliifanyia kazi , nikaprint bila shida lkn leo hii imezogoa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
A forum about the latest OLDMOSHI news. This forum that brings together members of all backgrounds and from all corners of the world to discuss and share ideas and information about matters...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni msaada Simu Yangu inanijibu ivi na line Network ina Search tu.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Uki click hiyo code inatokea hivi
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari za leo wana jamvi! Mimi ni kijana niko college shida yangu ni kwa wataalamu kunipa tips flan muhimu katika kujifunza kutengeneza carton animations kama hizi hapo chini. Nimeona ni vema...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
una link kwenye page yenye jina flani then someone anaclick on that link inampeleka kwenye page inaitwa copy ikionyesha mfano wa link hii http://www.mathjery.com/copy?tmn=OA%3D%3D unafikiri ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jinsi ya ku verify website yako ama blog ktk propellerads verify your blog! Wadau hivi baada ya zile codes mfano <metatag="propeller.html0078"> na wameniambia ni paste chini ya tag ya <head>...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama mada inavosema kwa wale beginners was c++ tupeane maujuzi.
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Kwa wenye uzoefu na android, je ni simu gani yenye android ambayo ni bei rahisi na iko sokoni?? yani kuanzia laki mpaka laki na nusu?? na je ni nan anajua jinsi ya kuiunga HUAWEI ASCEND Y200 uwe...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
TUJIFUNZE KISWAHILI: 1. Charger - kimemeshi 2. Remote - kitenzambali 3. Password - nywila 4. Akala (bladder shoes) - kirikiri 5. Passion fruit - karakara 6. Kangaroo - bukunyika 7. Fridge - jokofu...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Mtu wa kawaida unawezaje kutumia kifaa chako kuperuzi humu na usisomeke kama member wala guest, usomeka kama roboti?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…