JAVA PRO Tukutane Hapa!!!

JAVA PRO Tukutane Hapa!!!

msani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
1,800
Reaction score
1,195
Dunia inaenda kasi sana na teknolojia ndiyo imeshika hatamu.
Mimi natamani wale wataalamu wa Coding hasa JAVA tukutane hapa kusaidiana skills za hii Program. Naamini baada ya muda tutakuwa tumeongeza watu wengi wenye ujuzi mkubwa wa Computer Languages.
Hata kama wewe ni mwalimu jitokeze tu uoneshe uwezo wako hapa na wanafunzi utawapata hapa hapa
HAPA NI KWA AJILI YA JAVA TU
 
Mimi Java siipendi.
Language ngumu sana kusoma. Ma concepts kama yote.. Abstraction, Public, Private, Projected.
Kifupi ni kuwa OOP structure ya Java iko too much complicated than other OOP based languages.

Kwanza mfano mie nimebase kwenye web application/systems development Java haina much usage kwangu.
Mkuu twende kule kwenye python usaidie jahazi
 
Back
Top Bottom