johnj
Member
- Jul 23, 2008
- 91
- 31
Rafiki yangu ana laptop hiyo ya Compaq CQ70 ambazo zilitoka miaka ya 2010 hivi. na imeharibika chasis ( namaanisha ile frame ya nje toka kwenye kioo na pia chini kwenye motherboard) vitu vingine vinafanya kazi vizuri.
Laptop hii ilianguka na hiyo frame ya nje imepata nyufa nyingi na inakuwa vigumu kubebeka toka mahali pamoja hadi pengine. Akipata hiyo frame ya nje inaweza kutengenezwa na kutumika.
Kama una anachohitaji basi nijulishe kinapatikanaje na kwa bei gani.
Natanguliza shukrani