Msaada msaada wenu : Nina mashine yangu hapa ofisini printer Laserjet Pro MFP M125nw

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,625
2,443
Hii Printer nimetumia ujuzi wangu wote nimefail, nikiangalia nimeshapiga window 8.1 kabla ya kufanya updates yoyote ile hata ya drivers niliifanyia kazi , nikaprint bila shida lkn leo hii imezogoa kabisa baada ya kufanya updates , nimejaribu kurestore system mashine imezinda kbs.. inaenda mpaka 100 inafail na kunileteea maelezo kama yanavyojionesha kwenye picha.
 
Yaani nimeshindwa kulitatua mwenye ujuzi nahitaji msaada wake.
IMG20190920132230.jpeg
IMG20190920132542.jpeg
 
Back
Top Bottom