mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Wadau habari nilikuwa nataka kubadilisha simu sasa nilikuwa nataka kununua simu ya aina ya google pixel xl naomba mawazo hapa hizi simu ni nzuri au,kikubwa nachopendea hizi simu ni camera yake na mimi uwa navutiwa na simu zenye camera nzuri,kuna page moja ipo intagram(Bongosmart)naona hana hizi simu ila ni used kutoka ulaya