Hili linategemea na keyword.
Na pia ukiwa una tovuti inayotumia lugha zaidi ya moja, kwenye webserver utaweka directory ya kila lugha.Lakini pia kuna plugins kama unatumia wordpress
Mfano hiyo site yako
www.mysite.com kwa kifarasansa itakuwa
www.mysite.com/french, kama kiswahili address itakuwa
www.mysite.com/swahili nk.
Na lugha ambayo unaipa kipaumbele utaicha iwe kwenye
www.mysite.com
Chukulia mfano wa bbc ambayo inatumia lugha zaidi ya moja, kwa kutumia maneno yafuatayo inaleta matokeo toka domain ya
www.bbc.com kwa lugha tofauti.
1. bbc swahili inaleta content za kiswahili
View attachment 1151241
Sasa kwenye link hapo ni
https://www.bbc.com/swahili, inamaanisha kwenye webserver ya bbc kuna directory ya "swahili" ambapo content za kiswahili zinakuwa ndani ya hilo folder.
2. bbc arabic, inaleta taarifa za kiarabu
View attachment 1151240
Ukiangalia structure ya link haina tofauti na ya hapo juu.
3.bbc lugha ya kipaumbele ni kingereza kwa hiyo wanatumia
www.bbc.com
View attachment 1151242
Kwa hiyo kuwa na multiple languages haina tatizo, kwa kuwa unalenga watu kimaeneo utalazimika kufanya research ya maneno kwa kila lugha jinsi watumiaji wanavyotafuta taaarifa.
Na system nzuri itakayokusadia kwenye hili ni GOOGLE KEYWORD PLANNER
Kwenye search results itaonesha directory ambapo hiyo content ipo kama hiyo mifano ya juu unavyoiona.
Mfano kuna mtanzania anayetafuta taarifa za ujasaliamali. Anaweza kuandika "ujasiliamali tanzania" au "enteprenuership in tanzania"
hapo search crawlers itatafuta links zote ambazo zina hayo maneno.