Tuliosoma chini ya mti tunaomba tafsiri kidogohao robot ni web crawlers,A Web crawler, sometimes called a spider or spiderbot and often shortened to crawler, is an Internet bot that systematically browses the World Wide Web, typically for the purpose of Web indexing (web spidering).
Web search engines and some other sites use Web crawling or spidering software to update their web content or indices of others sites' web content. Web crawlers copy pages for processing by a search engine which indexes the downloaded pages so users can search more efficiently
kwa kifupi hata wewe ni robot kwenye mtandao
tehteh nilijua tu ngoja nijaribu kueleza kwa kiswanglishTuliosoma chini ya mti tunaomba tafsiri kidogo
Naaam hapo sasa nimeelewa.tehteh nilijua tu ngoja nijaribu kueleza kwa kiswanglish
mfano wewe hii thread uliyoiandika "robots vs guests hapa jf" jaribu kusearch google hicho kichwa cha habari cha huu uzi..
ukishasearch utaona link ya hii thread uliyoandika google,,
swali je wewe ndio umeipost google?
jibu ni hapana wewe umeipost hii thread jf lakini ukienda google unaiona,nani kaipeleka huko?......sio wewe ni robot
hii ndiyo kazi ya robot,kuindex page,na ku copy content ya huu uzi kuhifadhi kama "cache".....
Hili liliwezekanaje mkuu. Maana siamin kama websites zote kwa sasa zipo kisasa zaidi huwenda tukapenyapenya huko kama marobotiKizamani zamani na hata Sasa Hivi kwa website zisizo na tech za kisasa ulikuwa unaweza kuji disguise Kama robot na kuvisit hata forums ambazo Ni za kulipia ama zinazohitaji kujisajili.
nimeona jf wameblock kuji disguise kama googlebot na bing bot,ila nikitumia yahoo(slurp ) page inafunguaKizamani zamani na hata Sasa Hivi kwa website zisizo na tech za kisasa ulikuwa unaweza kuji disguise Kama robot na kuvisit hata forums ambazo Ni za kulipia ama zinazohitaji kujisajili.
Unatumia user agent switcher mkuu. Kama una Firefox ama browser nyengine inayokubali kubadili user agent unadownload na kubadili. Cheki kwenye store ya add-ons.Hili liliwezekanaje mkuu. Maana siamin kama websites zote kwa sasa zipo kisasa zaidi huwenda tukapenyapenya huko kama maroboti
Kweli mkuu site nyingi za kisasa huwezi kuzidanganya kwa style hii.nimeona jf wameblock kuji disguise kama googlebot na bing bot,ila nikitumia yahoo(slurp ) page inafungua