fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
kuna baadhi ya video ambazo zinapostiwa hapa jamiiforum,napojaribu kuziplay kwenye hii simu yangu hazikubali,natumia samsung note 9,wajuzi nifanyeje?
Zina quality au hazina quality [emoji848][emoji848] check it km zina quality , use VLC MEDIA to play it .kuna baadhi ya video ambazo zinapostiwa hapa jamiiforum,napojaribu kuziplay kwenye hii simu yangu hazikubali,natumia samsung note 9,wajuzi nifanyeje?