Kwa wenye uzoefu na android, je ni simu gani yenye android ambayo ni bei rahisi na iko sokoni?? yani kuanzia laki mpaka laki na nusu??
na je ni nan anajua jinsi ya kuiunga HUAWEI ASCEND Y200 uwe unaiona kwa internet, yaani kwa GPS????????/
mkuu gps ni hardware ipo kwenye simu kama unavosema bluetooth au kioo au spika.
kuweza kutumia gps inabidi uwe na software/service ambayo itakua inatumia hio gps ili kuweza kufanya hayo unayotaka.
just search playstore gps service utakuta software za kutosha ila sidhani kama kuna free service za hio kitu
yaani umenunua GPS unataka kuifunga kwenye simu ya android?
Hamja mwelewa huyu nyie! Anachotaka kuunga Internet kwenye android Phone! Ila kachanganya kati ya GPRS na GPS
first download gps app on your android phone and go to the setting after that open gps and open that app which u downl..... and try to use, TRY TO DO IT!!!!!!!!!!!!!!!!amesema uwe unaona kwa internet 100% anamanisha gps maana ndio kazi yake