*#0*# hii code kwenye Sumsung ina maana gani?

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,468
Reaction score
17,974
Uki click hiyo code inatokea hivi
Screenshot_20190922-072819_HwModuleTest.jpg
 
Kisha uki click hapo kulipoandikwa sensor kisha ukasogeza mkono ina kuwa na vibrate. Hii inaashiria nini? Nina simu yangu Sumsung A30 nashindwa kuiiuza eti wananiambia ni fake sababu tu hai-vabrate.

Kuna ukweli kweli?
 
Mkuu unaiuza bei gani

Back
Top Bottom