Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau naomba kuuliza,ninataka kununua washing machine kwa matumizi ya nyumbani lakini kwa uzoefu wangu naona washing machines nyingi huwa zina haribu nguo kama kupausha nguo nakadhalika. Je zipo...
0 Reactions
34 Replies
16K Views
Habari za wakati huu wadau wa tech. Katika pitapita zangu huko nimekutana na hizo simu mbili. Zimetengenezwa huko Rwanda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi kama mjumbe nawapa iyo taalifa.. Kuna jamaa zangu wamelia huku pesa zimeibwa Kwa kiswahili kizuri pesa zimekatwa katika mitandao yao waliojiungia! Kama ikiwezekana pesa zako hamisha...
8 Reactions
200 Replies
29K Views
Msaa wenu jamani maana nilikuwa natumia PC huku nimeichomeka chaji. Je nini nizangatie ili betri isife endapo nitanunua betri mpya?
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kila nikifungua ms office ya pc yangu inanidai hizo keys hadi imekuwa kero naomba msaana mwenye nazo au namna ya ku-bypass hii kitu Asanteni
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello Bros, Msaada hapa Ndugu zangu, Bittorrent na Uttorrent hazivutiki/hazipokei magnetic link kutoka kwa Torrent sites! Wadau hapa nini tatizo? Nifanye nini?? Niliamua kutumia hizi kama...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu habarini , katika kujaribu kupekechua nimejikuta natengeneza blog ya bure kupitia blogspot ila sina elimu nzuri kuhusiana na haya mambo. Naomba kuuliza, je naweza kutumia hiyo blog...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Nina simu yangu aina ya "Huawei Y3 Lite", hivi karibuni nimepata tatizo moja, kila nikidownload pdf file inanipa ujumbe huu " The file could not be downloaded.Please save the...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau nahitaji kutuma kabox kangu kigoma naombeni msaada mnielekeze ni wapi zilipo ofisi za saratoga hapa dar ili nipate tuma mzigo wangu Natanguliza shukrani
1 Reactions
3 Replies
6K Views
wakuu naomba tushirikishane android framework unayotumia. Na si vibaya ukatupa na sababu ya kwa nini umeichagua hiyo framework. Mimi binafsi nasubiria majibu yenu kusudi nichague moja nianze nayo...
0 Reactions
4 Replies
874 Views
Kwenu Wajuzi nimeona nije kwenye jukwa hili kutokana na kuheshimu mawazo yenu, basi naomba kama kuna mjumbe amepata softcopy ya kitabu icho au audio yake naomba anisaidie
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Unasema iPhone zina bei, Hii Xiaomi inauzwa dola 2,745 $ sawa na Shilingi 6,311,875/= za Kitanzania [emoji112]....
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu wataalam wa blogs msaada jaman nimefungua blog kupitia blogspot nimeiverify na google console nikaiunga na TAG MANAGER lakin bado haionekan kwanye GOOGLE SEARCH chochote unacho kijua ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumia tecno C 11 PRO jana usiku nilimtumia ndugu yangu SMS(SMS YA KAWAIDA SIYO ZA WHATSAPP ZILE ZA KAWAIDA KIUKWELI SIJUI NDIO ZINAITWA HIVYO HIVYO SMS AU LAAH!!) Baada ya hapo nikaifuta ile...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Nipo nataka kununua simu moja wapo kati ya izo ipi ni bora Kama kuna mtu mwenyewe uzoefu nazo Note: usinambie ninunue iphone7 plus hapana sipendi plus za iphone zote sababu ya size zake ni kubwa mno
3 Reactions
63 Replies
10K Views
Jamaa zangu habarini za asb, ninaomba msaada wa ufaanuzi kuwa; natumia simu ya TECNO K8 SPARK na ina MICRO INTELLIGENCE, nilisikia matangazo ya simu hivi karibuni nikasikia kuwa hii ni akiki ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini za humu wadau,Mimi ni mobile app developer based on android...Nimekuwa nikifanya developments za apps zangu nikiwa nyumbani ila sasa hivi nataka nitoke home niwe japo naenda...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari jamani application hipi ya redio naweza kusikiliza na kurecord kabisa
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau Habar natumia techno k7 niikingia kwenye app ya M bett inaniandikia Unfortunately M bett app has stoped.Nimejaribu kufanya yafuatayo hayajanisaidia, 1 kuifuta app na kuidownload upya 2...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hellow , guys natumai mu wazimaa nilikuwa nashida yakujuzwaa zaidi jinsi yakutumia ubuntu hasa kwa kuinstall windows games na application kama whatsapp. Nilibadili operating system ya macintosh...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom