Kwa wajuzi wa kutumia Ubuntu 19.04

Kwa wajuzi wa kutumia Ubuntu 19.04

Prince kelly

Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
43
Reaction score
48
Hellow , guys natumai mu wazimaa nilikuwa nashida yakujuzwaa zaidi jinsi yakutumia ubuntu hasa kwa kuinstall windows games na application kama whatsapp.

Nilibadili operating system ya macintosh coz yakuni alert kila mdaa niibadilishe ni yakitamboo na gharama yakubadilisha nikaona nikubwa so nikaona bora nitumie ubuntu ila tatizo ndo nashindwa kupata games kama za windows msaada wenu please
 
Unajua kutumia Terminal kwenye swala la kuinstall application ambazo hazipo kwenye Ubuntu Software Center?
 
Tumia wine kuinstall software za windows kwenye ubuntu lakini sio games.
On ur terminal sudo apt-get install wine
wine vlc-media-player.exe then install kawaida kama windows tuu
 
Hellow , guys natumai mu wazimaa nilikuwa nashida yakujuzwaa zaidi jinsi yakutumia ubuntu hasa kwa kuinstall windows games
Kutumia Games/App za Windows kwenye Linux utahitaji Wine au Check Steam
Ungesema Michezo ipi unaitaka angalau kungekuwa na ushauri maalum kabisa kwa sasa ni hivyo tu!

Check Link hii angalau upate mwanga wa Gaming kwenye Linux

application kama whatsapp.
WhatsApp ni Mobile app ya Android na huwezi kutumia Linux. Kama una maana ya WhatsApp Web then tumia Browser. Hakuna WhatsApp Web installer ya Linux na sidhani kama utaiihitaji!

Nilibadili operating system ya macintosh coz yakuni alert kila mdaa niibadilishe ni yakitamboo na gharama yakubadilisha nikaona nikubwa
Gharama ya kubadili OS au Laptop? Kama OS basi ni bure, bando lako tu! Kama ni Machine then angalia latest OS ina support kisha u update!

nikaona bora nitumie ubuntu ila tatizo ndo nashindwa kupata games kama za windows msaada wenu please
Ungetaja hizo game. probably kuna aliyewahi jaribu au kupata ushauri. Pia check kama kuna equivalent Game kwenye Linux World.

BTW naomba niuzie muda unaoutumia kwenye Gaming 😉
 
Huyu jamaa kwanini hamwambii ukweli tu?
Gamers gani mmeona anatumia Ubuntu kucheza games?

Mtoa mada kama unataka games dual boot pc yako na windows for gaming , Ubuntu nayo kwa mambo mengine.
 
Huyu jamaa kwanini hamwambii ukweli tu?
Gamers gani mmeona anatumia Ubuntu kucheza games?

Mtoa mada kama unataka games dual boot pc yako na windows for gaming , Ubuntu nayo kwa mambo mengine.
Kuna Games ambazo waandishi wana version ya Linux. Actually kuna Linux Distro iko dedicated kwa ajili ya Gaming. So uko nyuma ya uda kiaina!
 
Hapa naongelea overall OS Dedicated kwaajil ya gaming ni windows tu..hakuna bla bla..niambie gamers tangu lini anacheza games kwenye Ubuntu? Jamaa afanye dual boot tu na si kingine.

Ignored!
 
Mkuu ukisema 1.35 naona ziko nyingi sasa nambie ni ipi hiyo
 
Back
Top Bottom