Local Electricians certainly are a set of pros from electric machines and systems. And, once you need to put in new electric components on your premises or updates, then you ought to seek the...
Niko Arusha
Nauza Ram 4GB DDR3 (Samsung planet first,Made in philippines) kwa ajili ya Laptop iko poa kabisa katika hali nzuri na ifanya kazi poa kabisa bei ni Tsh.36000 maongezi yapo nicheki...
Huko Marekani hakuna cha mkubwa wala mdogo, ukikiuka sheria unachukuliwa hatua bila kujali ukubwa wako. Sio kama hapa Bongo azam alituuzia maziwa magumashi kisha akayaondoa sokoni bila kuvhukuliwa...
Nilianzisha maada hii wiki iliyopita baada ya boss wangu mpya kuwa na njia za malipo ambazo kibongo bongo ni kazi kuwith draw mpunga
Leo nikaona ana option ya kulipa kwa bitcoins, nikaona...
Kwa mwenye utaaalamu kuhusu izi printer za kuprintia vitu kama
Vehicle wraps
Floor graphics
T shirt
Sweatshirt
etc.
Msaada nataka nunua printer moja ambayo itafanya kazi zote na kwa uhakika [...
Wataalam bila kupoteza muda niende kwenye mada nataka ninunue Laptop muda si mrefu na ni special kwa ajili ya GRAPHICS DESIGNING nikiwa nimelenga vigezo vifuatavyo
BRAND: HP Spectre au Pavilion...
Kwa Wasiimba wote,
Kuna Slack workspace(Tanzania Developers) kwa ajili ya community yetu ya wasiimba/ma developer wa Kitanzania toka pande mbalimbali za dunia kwa majadiliano, kusaidiana...
Guys nilikuwa naomba mnisaidie jinsi ya kulihack game la gangstar Vegas la android nimeangaika nalo mpka nimechoka please naombeni mnipe njia ya kupata coins na gold
Habari za humu jamani,ninaomna kwa aliye na account katika moja ya site za freelancing katika maswala ya app development or other stuffs kama hizo anipm maana nimejaribu kucreate account katika...
niaje wazeeee
kama kichwa kinavyosema hii software ambayo binafsi naitumia inasaidia kubalance matumizi yako ya MB data pale unapokuwa online.
software hii imegawanyika katika sehemu nne ambazo...
Nataka kununua Tv, inchi 43 isiwe SMART tv kampuni ya LG, je ni vitu gani vya ziada vya kuzingatia, je ntakuaje tv original ya kampuni ya LG
Msaada wenu
Niaje wakuu..nimeona nije na hii topic ila ni mawazo yangu kama una lakuongeza karibu au nimekosea mahali tuambiane..
Kwa kawaida kibongo bongo bloggers wengi tunategemea sana matangazo ya google...
Habari zenu.
Kwa wale wanaoelewa naomba msaada WA utatuzi WA machine yangu ninayofanyia kazi Kwa kujipatia riziki.
Nina machine yangu ya ice cream huu ni karibu mwaka WA nne. Imeanza kuniletea...
wakuu wataalamu wa simu,nina tatizo,kuna simu hapa inakataa ku'reboot na sijaju tatizo ni nini,naambatanisha picha sijui kama zitaeleweka,lengo ni kupta msaada wa namna ya kulitatua hili...
nimenunua
simu vivo y93, tatizo haitaki kuconnect Google app store, inaishia tu checking info...... then haiendelei tena, inaload tu. naomba msaada wa ufumbuzi
Habari wana JF. Mimi ni mkazi wa Kigamboni ninajishuhulisha na web design. Nina idea ya programming kama html, css, php na kwa mbali kama C. Nmetokea kusikia kuhusu python lang. Natafuta mtaalamu...
Katika pitapita zangu nimepjikuta napendezwa na simu tajwa hapo juu.
Naomba kufahamishwa bei hapa nchini au kuagiza.
Naomba kufahamishaa kuhusu weakness zake.
Nimeona ipo pia a80 ila betri...
Naomba msaada wataalama wa pc kama kichwa cha uzi kilivyo.
pc yangu inaandika window lisence will expire soon activate it.
Sasa kila nikienda setting kui activate inazingia nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.