Military Genius
JF-Expert Member
- Mar 3, 2019
- 761
- 1,482
Unasema iPhone zina bei, Hii Xiaomi inauzwa dola 2,745 $ sawa na Shilingi 6,311,875/= za Kitanzania [emoji112]....
Hahahha kwel kaka tena kuna simu nyingine inaitwa red hydrogen iyo cm balaaaaaWatu wamekariri iphone ndo simu ghali.
Kuna machine oneplus, sijaona simu ya chini million
Kuna siku mtakufa kwa pressure na huo upupu wa kichina.Hahahha kwel kaka tena kuna simu nyingine inaitwa red hydrogen iyo cm balaaaaa
Sio poa mzee mwenzanguBana hii ni zaidi ya Edge
Sio poa mzee mwenzangu
Sio mil 12 tu ni mil 20mkuuu maaanaSiku apple wakitoa yenye kufanana na hii itauzwa mil 12[emoji23][emoji23]
Wa aya masimu sioNgoja tuendelee kuwa watazamaji
Wa aya masimu sio
Izi cm sio poaNaaam boss
Kuna siku mtakufa kwa pressure na huo upupu wa kichina.
Nawawekea hapa Apple na samsung.
View attachment 1223832View attachment 1223833View attachment 1223834View attachment 1223835View attachment 1223836View attachment 1223837View attachment 1223838
Kama ilivyotolewa ile!?😊Hii ni concept tu
Kuna siku mtakufa kwa pressure na huo upupu wa kichina.
Nawawekea hapa Apple na samsung.
View attachment 1223832View attachment 1223833View attachment 1223834View attachment 1223835View attachment 1223836View attachment 1223837View attachment 1223838
Nahisi umekurupuka kuelewa niliem-quote aliweka nini? Ukiacha matusi ukafatilia vizuri utaelewa nini kilikuwa kinaendelea.Acha ushamba basi..mbona unatuwekea concept mkuu?
Nahisi umekurupuka kuelewa niliem-quote aliweka nini? Ukiacha matusi ukafatilia vizuri utaelewa nini kilikuwa kinaendelea.
Iliwekwa concept pale mwanzo nimejibu kwa concept wewe unajaa matusi sijui ndo kuelewa sana au ndo ushamba unaousema?![emoji15]