MSAADA: Nini kisababisha betri ya PC kufa mapema?

Nimenunua lenovo tangu mwaka jana agosti.. mpaka leo inatunza chaji kwa 5+ hours matumizi ya kawaida.. kama kutype
Kubrows na movie inapungua kidogo ya hapo

Nimefanikiwa kwa kkuzigatia haya;-
1. Usicheze gemu pc ikiwa na betri
2. Usitumie pc kitandani
3. Usiiache pc ika-overcharge kwa muda mrefu
4. Weka utaratibu wa kuichaji pc yako ikiwa not below 20%
 
Nimenunu lenovo tangu mwaka jana gosti.. mpaka leo inatunza chaji kwa 5+ hours

1. Usicheze gemu pc ikiwa na betri
2. Usitumie pc kitandani
3. Usiiache pc ika-overcharge kwa muda mrefu
4. Weka utaratibu wa kuichaji pc yako ikiwa not below 20%
Sukrani sana mkuu

Kwahiyo mkuu natakiwa PC ikipungua asilimia ngapi niichomeke chaji?
 
Msaa wenu jamani maana nilikuwa natumia PC huku nimeichomeka chaji.
Je nini nizangatie ili betri isife endapo nitanunua betri mpya?
Mkuu kwanza pole kwa majanga..

Kwa ufahamu wangu na uzouefu wangu wakutumia laptop kuna sababu zangu kuu mbili tu zinazofanya battery ife mapema.

1. Kutumia laptop muda mrefu huku ikiwa kwenye charge.

2. Kutumia laptop muda mrefu ikiwa ipo kwenye kitanda (godoro) hapo inasababisha mashine kutopata kupumua vizuri maana godoro linahifandi joto na kufanya battery kupata Moto muda wote..

Mwisho kabisa nyoongeza ni kwamba battery nzuri na yenye maisha marefu ni ili original inayokuja na laptop ikiwa mpya (brand new), ila hizi za kununua madukani kureplace OG iliyokufa nyingi hazina maisha marefu hata ukiitunza vizuri..

Nilikua na laptop yangu miaka ya nyuma ulivyokua mpya ilikua na uwezo wa kufikisha hadi masaa8 bila kuchomeka charge ile battery iliyokufa nikaenda kariakoo kununua nyingine kuweka hata masaa mawili haifiki.
 
Asante sana mkuu na pia pole sana
 
Laptop yako unatumia kwa kazi zipi mkuu kuna utaratibu wa kutunza battery kama matumizi yako mengi ni ku perform heavy editing tasks, kucheza magem makubwa n.k.

Kwanza Kinachoua battery mara nyingi ni heat
Pili nfani ya battery kuna cell ambazo ndio uhai wa iyo battery, hizo cell zina life span yake ya kupokea charge,kadri unavyoicharge mara nyingi ndivyo inavyowai kufa..
Mara nyingi namaanisha ikiisha charge kisha uicharge tena..
Make sure battery yako haipungui 80% itudumu milele..

Mfano tyres za magari zina life span yake ya kuishi tokea imetoka kiwandani zipo kuanzia miaka mi3 na kuendele,nyingine zikitembea kimometre kadhaa vivyo hivyo kwa battery za pc.
 
Kwa ajili ya kujisomea na kuchat kwenye mitandao ya kijamii
 
Okay kama unatumia sana ukiwa kitandani ni bora iwe inakaa juu ya mto kidogo itaweza kupumua tofauti na ikikaa kwenye godoro,ukishindwa kabisa tafuta stand zake za kuwekea kitandani ili isiwe inapata moto.
Pump ya kwenye tank ya gari ukiwa unajaza mafuta kidogo kidogo inawai kufa,tofauti na ukiwa unajaza full,na ndio battery ya pc inataka hivyo
 
Nimenunua lenovo tangu mwaka jana agosti.. mpaka leo inatunza chaji kwa 5+ hours matumizi ya kawaida.. kama kutype
Kubrows na movie inapungua kidogo ya hapo

Nimefanikiwa kwa kkuzigatia haya;-
1. Usicheze gemu pc ikiwa na betri
2. Usitumie pc kitandani
3. Usiiache pc ika-overcharge kwa muda mrefu
4. Weka utaratibu wa kuichaji pc yako ikiwa not below 20%
Usicheze game PC ikiwa na betri na pia usiiache pc ika over charge kwa muda mrefu? Sasa ukiwa unacheza game huku ume connect waya wa charger si battery itajaa na kuifanya i over charge au
 
No 4 ni the biggest point
Nimenunua lenovo tangu mwaka jana agosti.. mpaka leo inatunza chaji kwa 5+ hours matumizi ya kawaida.. kama kutype
Kubrows na movie inapungua kidogo ya hapo

Nimefanikiwa kwa kkuzigatia haya;-
1. Usicheze gemu pc ikiwa na betri
2. Usitumie pc kitandani
3. Usiiache pc ika-overcharge kwa muda mrefu
4. Weka utaratibu wa kuichaji pc yako ikiwa not below 20%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom