Ipi simu nzuri kati ya noki 6.1 plus(x6) au iphone 7

Ipi simu nzuri kati ya noki 6.1 plus(x6) au iphone 7

ubelito

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
170
Reaction score
262
Nipo nataka kununua simu moja wapo kati ya izo ipi ni bora
Kama kuna mtu mwenyewe uzoefu nazo

Note: usinambie ninunue iphone7 plus hapana sipendi plus za iphone zote sababu ya size zake ni kubwa mno
 
.
IMG-20191001-WA0010.jpeg
 
Specs wise iPhone 7 Ni nzuri. Na sidhani Kama zinafananishika, hio Nokia mpya nafkiri hata laki 3 haifiki wakati hio iPhone mpya Ni close to 1m.
Mkuu naitaka hiyo Nokia...nielekeze Duka nitaipata kwa laki 3. please!
 
Nakumbuka nliorder June hivi 6gb Ram kwa 64gb ilikua 333k saivi nadhani zimeshuka..
Sijui Kama bongo price reduction imewaathiri mkuu, Ila Nokia wenyewe wamezishusha bei, mfano kwa India Ni rupee 9000 ambayo Ni Kama 290,000 ya kibongo, ukienda AliExpress ndio Hadi 250,000 unazipata.
 
Shida nini,unajua kuna siku nilisema nokia ni kama wamekuja kuigiza sokoni.

Huwezi uza simu ya laki sita inafanana kama tecno[emoji53][emoji53][emoji53]
Nakumbuka nliorder June hivi 6gb Ram kwa 64gb ilikua 333k saivi nadhani zimeshuka..
 
Shida nini,unajua kuna siku nilisema nokia ni kama wamekuja kuigiza sokoni.

Huwezi uza simu ya laki sita inafanana kama tecno[emoji53][emoji53][emoji53]
operating system ya uongo, wangerudi kwenye window wakaiboresha
 
Window ilikuwa magoli sana.yaani mpaka leo nikishika simu ya window huwa naamini ndio ilikiwa simu ya mfano.

Zile simu ni mwisho, huwa sielewi kwa nini walishindwa kukamata soko!

Window na brackberry wakifanikiwa kurudi kwa OS zao basi android wajipange
 
Unamaanisha nini unaposema"operating system ya uongo." Wakati NOKIA inatumia android,sema kama hautaki android unachagua operating system nyingine kama iOS au Windows.
Nahisi wanaojua OS ya nokia( lumia/microsoft) hawashangai ninaposema ya uongo maana hiyo android wamekuja nayo juzi( android os kwenye nokia na blackberry ni za uongo sana)!
 
Chukua NOKIA 6.1 plus ni nzuri na price yake iko bomba,iPhone Ni simu nzuri lakini bei juu sana.Tofauti iliyopo hapo ni operating system tu.Kama wewe ni mpenzi wa ku customize your smartphone nakushauri uchukue ANDROID kwa sababu zina features Kama BLACK/DARK THEMES ON ENTIRE UI.Unaweza pia Ku root your phone ukaitumia unavyotaka.
Nipo nataka kununua simu moja wapo kati ya izo ipi ni bora
Kama kuna mtu mwenyewe uzoefu nazo

Note: usinambie ninunue iphone7 plus hapana sipendi plus za iphone zote sababu ya size zake ni kubwa mno
 
Back
Top Bottom