Naomba msaada: Simu yangu ina Micro intelligence

Joined
Nov 18, 2018
Posts
26
Reaction score
5
Jamaa zangu habarini za asb, ninaomba msaada wa ufaanuzi kuwa; natumia simu ya TECNO K8 SPARK na ina MICRO INTELLIGENCE, nilisikia matangazo ya simu hivi karibuni nikasikia kuwa hii ni akiki ya bandia. Sasa naomba ufafanuzi inafanyeje kazi, na kwa kazi zipi?
 
Mkuu zamani tulikuwa na cpu ambayo inaprocess Mambo mbalimbali kwenye vifaa vya electronic, baada Mambo ya games na software kubwa za graphics zilivyoongezeka zikaja Gpu ambazo zilisaidia kwenye upande wa graphics na Sasa Hivi kumekuja NPU (Neural processing unit) ambayo Ina accelerate Machine learning.

Simu karibia zote mpya Zina hii kitu, Machine learning Ni ule uwezo wa machine kujifunza na kujiongeza yenyewe bila kuwa programmed. Hii machine learning Ni Application ya Artificial Intelligence, hivyo kifupi upo sahihi hio Ni akili ya simu.

Matumizi yake Ni Kama
-kutambua vitu vinavyokuzunguka mfano kwenye Huawei flagship inaweza kukutajia vyakula unavyokula majina yake, idadi ya calories na details nyengine pale unapoelekezea kwenye hivyo vyakula, unaweza ukapima urefu, upana wa vitu mbalimbali hata Kama vipo mbali, kukuelekeza mahali kitu fulani kinapouzwa na mifano mbalimbali.

-kutambua kitu unachofanya na na simu kuji adjust yenyewe, mfano hao hao Huawei walikuwa wanacheat Benchmarks kwa Kutumia AI, simu inapofungua App ya Benchmark thermal limitation wanaiondoa na inaproduce perfomance kubwa Sana,
Kuna launcher ya simu ilikuwa Ina predict matumizi yako mfano wewe kila siku asubuhi ukiamka unafungua Facebook, na kuangalia YouTube then hii launcher inajiset yenyewe kila ikifika asubuhi inaziweka mbele app ya FB na YouTube.

Ila kwenye hio Tecno yako unamiss hardware nyingi Sana za kuimplement Mambo mengi ya AI, labda vitu vidogo vidogo vya camera itafanya.

Hii video ya AI kazini
 
Natumae mleta mada utakua umepata muongozo...

Cc: mahondaw
 
Mkuu nje ya mada kidogo nina pc ina specs hizi hapa
Cpu=intel core i7-7500u 2.7-3.0 GHZ,1366×768 max resolution.
ram=8GB
hard disc =1TB
Graphic cards=intel HD graphics & AMD radeon R7 M340

Ni hp notebook kiukweli niliinunua kwa ajili ya gaming na ipo vizuri sana kwenye perfomance overal ila kuna baadhi ya games chache sana siwezi kucheza at ultra setting yaani nikiweka ultra setting game linaanza ku lag ila at highest na high setting ni playable kikawaida siwezi kui overclock hiyo pc kwa kuwa ni locked (nilifuatilia uzi wako uliwahi ku describe letters zote) ila nikaja kugundua kuna hizi EXTERNAL GPU ambazo naweza kuzi intergrate kwenye hiyo pc ili zinisaidie kwenye ku play at HD ultra setting je?? Ushawahi kuzifuatilia mkuu?? Na je zina side effect yoyote kwa pc??
N.b
Niliinunua ikiwa USED .
 
Sasa Nitai screenshot na kuileta humu
Ile macro intelligence ni hii hapa, nimei screenshot
Screenshot_20191006-143043.jpeg
 
Back
Top Bottom