Tatizo la unfortunately app has stoped

franknombo

Senior Member
Mar 30, 2019
170
160
Wadau Habar natumia techno k7 niikingia kwenye app ya M bett inaniandikia Unfortunately M bett app has stoped.Nimejaribu kufanya yafuatayo hayajanisaidia, 1 kuifuta app na kuidownload upya 2 kuclear cache data. Naombeni msaada wakuu
 
Storage imebakia kiasi gani?
 
Back
Top Bottom