Msaada wa kitabu cha Permanent Record by Edward Snowden

NEMEZIZ

JF-Expert Member
May 23, 2017
563
335
Kwenu Wajuzi nimeona nije kwenye jukwa hili kutokana na kuheshimu mawazo yenu, basi naomba kama kuna mjumbe amepata softcopy ya kitabu icho au audio yake naomba anisaidie
 
Kwenu Wajuzi nimeona nije kwenye jukwa hili kutokana na kuheshimu mawazo yenu, basi naomba kama kuna mjumbe amepata softcopy ya kitabu icho au audio yake naomba anisaidie
Audiobook
 
PDF/book labda ununue Amazon
epub zinapatikana hii hapa unaweza convert ili usome au tumia hii software
 
Attachments

  • Edward Snowden - Permanent Record-Metropolitan Books (2019).rar
    724.2 KB · Views: 0
Kinahusu nn

Ni Mmarekani mmoja alitumika serikali ya Marekani aliacha kutokana na sababu za ukiukwaji wa katiba ya marekani katika kuchota na kudukua simu za wamerekani..... kwa sasa amepata hifadhi Russia ...amekuwa na siri nyingi sana hapa sijui nimejitaidi kukupa mwanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom