Coco
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 430
- 1,577
Hello Bros,
Msaada hapa Ndugu zangu,
Bittorrent na Uttorrent hazivutiki/hazipokei magnetic link kutoka kwa Torrent sites!
Wadau hapa nini tatizo? Nifanye nini??
Niliamua kutumia hizi kama mbadala,
Tixani na Qb zinavuta tatizo ni hazinibariki kabisa.
Hazitembei/Haziendi!!