Wataalamu wa Blogspot: Naomba msaada Blog yangu haionekani kwenye ‘google Search’

deecarter

Member
Aug 24, 2019
23
64
Ndugu wataalam wa blogs msaada jaman nimefungua blog kupitia blogspot nimeiverify na google console nikaiunga na TAG MANAGER lakin bado haionekan kwanye GOOGLE SEARCH chochote unacho kijua ni msaada tosha usijidharau ndio tunaeleweshana msaada jaman

natanguliza shukran zangu
 
Tumia link hiyo
 
Kuwa verified na Google search engine inaweza chukua one week na kuendelea lakini pia tifle za content zako zikiwa tofauti na zilozotangulia unaweza kuwa indexed faster je jmejaribu kuinspect url za baadhi ya title za content zako zikakosa error?!
Inawezachelewa kwa Muda kuwa mvumilivu na endelea kupost content zako

Huyu Deusdedit Mahunda kaelwzea vizuri Sana fanya hivyo
 
Blog yako ina muda gani toka iwe hewani? kama uliitengeneza ndani ya mwaka huu unabidi uwe na subira unless uwe very famous !!

Je unatumia maneno ambayo yanatafutwa sana katika google search kama moja ya mada ya post zako? Tumia "tool" hii ili utambue ni maneno gani mazuri ya kutumia. https://keywordtool.io
Je una post nyingi katika blog yako? zaidi ya post 500 na kuendelea?
Je katika kila post ina zaidi ya maneno 1000? algorithm ya google iliundwa ku rank post zenye maneno mengi.

Hizi webmaster tools kama google search console, Bing Webmaster Tools, yandex webmaster n.k zinafanya kazi very effective kama blog yako ina muda mrefu (OLD IS GOLD ) na ina post nyingi na zenye maneno zaidi ya 1000!
Lakini pia tumia mitandao ya kijamii (facebook, twitter, instagram, linkedin) kuifanya blog yako iwe famous, umewahi sikia mtandao unaitwa pinterest? Utumie vizuri utakusaidia
Hapo kwenye Pinterest unaweza nielekeza jinsi ya kiutumia maana nishajaribu sana lakini sijafanikisha. Kila nikitumia link ya blog kutaka kutumia picha zilizo kwenye blog inakataa
 
Back
Top Bottom