Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hey i hope mpo poa. Eti ni apps zipi naweza kudownload movies kwenye laptop? Thanks✌
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naombeni video au maelezeo ya kufunga Dish la Canal.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nashindwa kutuma meseji kama inavyoonekana apo chini, nini suluhisho lake?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari nina hitaji kujaza form ambayo ipo online. Kwa sasa nashindwa kufungua website ambapo kuna hiyo form, inasema site can't be reached. Ninashindana na deadline, inawezekena kwa kua watu wengi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajuvi wa mambo naombeni msaada hapo utofaut wa hizi simu mbili kwa kila kitu.. na ipi ni bora zaidi kutumia Ahsanten..
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu.... Nina kifaa changu tajwa hapo juu ni kipya.... Hapa nilipo nimeamka ghafla App zote nilizo tafuta play store hazionekani na simu chini kushoto imeandika neno safe mode. Ni...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Nahitaji mafundi simu wa ukweli na watu wa IT ili tutengeneze kifaa tutakachofunga kwenye simu kwa ndani ambacho hakitoonekana kirahisi, ili kuifanya simu ionekane mahali popote ilipo ili...
0 Reactions
2 Replies
980 Views
Habarini jamani, napata hii error: The given artifact contains a string literal with a package reference 'android.support.v4' that cannot be safely rewritten. Libraries using reflection such as...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Nina ndugu yangu ana Laptop aina ya DELL LATITUDE D620 imepata tatizo kidogo ukiiwasha inaleta message kuwa "Memory Address line Failure 03CCF680" naomba solution ya hili tatizo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeona YouTube mtu anatumia fingerprint kwnye HP EliteBook G2. Mwenye ujuzi huo naomba anifahamishe.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Ndugu wana Jf, nimefungua account ya email kwenye simu yangu. Naomba kuelekezwa namna ya kutunza namba za simu na documents mbalimbali kupitia email ili ikitokea simu nimebadilisha pindi...
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Laptop yangu ya Toshiba nikiplay game inaniandikia Cannot find 648*480 Video Mode nimejaribu kubadili window lakini bado
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Nisaidie jinsi ya kuyaondoa haya maneno ndani ya mabano. (Are you a robot) or (A'm not a robot )wakati naperuzi Tweter yasiwe yanajirudiarudia mara kwa mara.
0 Reactions
2 Replies
880 Views
PC yangu ilikua nzima kabisa ...ila kuna mambo madogo madogo hayakuwa poa,nikashauliwa niipige Window... Kwenye kupuga window naona mambo kama yameharibika zaidi Yaani inagoma... Wenye kujua...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari. Kama heading ilivyo nahitaji kusoma hiyo kozi kwa wakati wa jioni tu. Mie nipo Mwanza kama kuna sehemu inapatikana basi tujuzane PM
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Anyone help....nna tafuta headphones za dre profesional beats.....thanx!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
what apps do you use? maybe you don't use any apps. so why? please, I need a good advice to choose a good bookmaker with good apps
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeazisha Kikundi cha kujifunza ufundi wa Madishi na kupata ujuzi zaidi hususani mafundi wenzangu join Hapa facebook
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nikituma inakuwa kama inavyoonekana hapo chini.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari kuna simu ya Samsung Galaxy S6 machine imesumbua nauliza nawezaje kuipata machine nikafanya replacement? Na huwa zinauzwaje? Asante. s6 galaxy 20A
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom