Dr.Dre professional beats headphones needed PLEASE!

NickFatz

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
224
Reaction score
8
Anyone help....nna tafuta headphones za dre profesional beats.....thanx!!!
 
Jitahidi kipost ktk jukwaa husika, ingia ktk matangazo madogo madogo hizo nyingi sana.
 
nenda kariakoo km unatoka kanisa la kkkt kuja barabara inayotoka uhuru kp left kwenda bugurun, barabara ya mwisho kabla hujatokeza barabara kubwa unaingia servis road upande wa kushoto, duka la 2 au la 3 kulia kwako wanauza pale tena wana model zote za DR DREE HEAD4N
 
oi kama natokea Gomz(lamboto) direction ipo vipi?
 
Back
Top Bottom