Msaada wa jinsi ya kufunga Dish la Canal

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,681
2,000
Kumbe 40000 tu? Sasa yanini kuhangaika kwanza lugha yenyewe kifaransa huelewi kitu wakati DStv compact ni 44000 unaona vyote ivyo .
Sio wote wasiojua kifaransa mkuu... Usipoelewa wewe, wengine wanaelewa kifaransa...
 

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
975
1,000
Utaona kupitia ss3 na ss8 jana mimi nimeangalia Inter na Dortmund
Ndio ila utaona mechi 2/3 kati ya 8... hi ni sawa sawa na kusema ata Azam pia anaonyesha EPL... maana anaonyesha mechi moja kwa week.

So kwa hiyo Canal ya 40k vs 44k ya DSTV... Canal unaona mechi zaidi pia unaona Europa, wakati DSTV haionyeshi kabisa hiyo Europa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom