Uzi huu unaletwa kwenu na
Orb Tech LLC.
Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza
Software development ni idara pana sana na ni ngumu mno. ugumu huwa mkubwa...
Habari wakuu
Siku chache zilizopita goog pixel 4 imetoka, kwa nionavyo mm hawa jamaa wanawapa bichwa tu iphone mana wameigiza karibia kila jambo kwenye iphone ila wao walichoharibu ni display yao...
Habari wadau, desktop yangu ilikua inapiga kazi fresh tu ina run windows 7 64 bit, sasa gafla wakat wa kuwasha naona inaishia kwenye logo.
Nikajarb hii solution, nikatumia bootable flash ili...
Habari za wakati huu wanajamvi wataalamu wa Mambo ya umeme naomba msaada,Nina kofriji kidogo nikikonect na umeme kinawaka kama dk moja kinazima, halafu baadae kinajiwasha Tena kinazima hivyo hivyo...
Ningependa kujua uzoefu wenu wakununua vitu kupitia matangazo ya Mtandao wa kupatana. Je, kuna changamoto zozote mmekutananazo kutoka kwa wauzaji, na je, ni kitu gani mnunuzi lazima ajiandae ili...
Ni viashiria gani vya smartphone kuwa kuna watu wanatrack?
Niligoogle nikapata majibu haya
wawa1.Simu kuwa ya moto sana
2.Kuisha kwa betri,salio na bundle mara kwa mara bila mpangilio.
3.Kuwa na...
Habari zenu,naomba kufahamu jinsi ya kujua simu kama ni copy kwa kampuni ya samsung,maana kuna mtt anataka kuniuzia samsung j7 prime ni mpya kabisa sasa bei yake namashaka nayo isije ikawa copy
Unawaza kuwekeza katika ujuzi wa kutengeneza program za simu, kompyuta au internet?
Kama una mawazo hayo lakini una wasiwasi hilo ni pepo Fanya kulishinda .....hahahahaha...kidding guys!
Lakini...
Uzi huu unaletwa kwenu na
Orb Tech LLC.
Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-1
Baada ya kujifunza ujuzi wa jumla wa kompyuta na uko confortable juu ya kifaa...
Uzi huu unaletwa kwenu na
Orb Tech LLC.
Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2
Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications.
Kama tulivyoainisha hapo awali...
Habari wanajukwaa, poleni na mvua hasa wananchi wa Dar es Salaam.
Husika na kichwa Cha habari hapo juu mwanzo setup zangu zilikuwa zina run vizuri kama vile app ya opera mini, BlueStacks na...
Nimenunua Epson L850, sasa baada ya kujaza wino wake, printer inaonyesha messsage hii: "See the setup manual to complete the initial ink charging."
Hapo sasa nimedata maana nilishamaliza kujaza...
Leo saa nane na dakika tisa nimepokea ujumbe kutoka Mpesa wakiniambia ombi langu la Open FI Account limepokelewa nitapewa mrejesho Pindi akaunti husika itakapo funguliwa.
Wana Jf mimi sijajiunga...
Habarini wana JF, naomba kuwasikisha swali kuhusu simu janja kwanini smartphone(s) baadhi zinasapot OTG cable na ina maana gani na kwa nini simu nyingine inagoma na,
Je OTG cable ni nini na je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.