Memory Address Line Failure 03CCF780

Dannis

JF-Expert Member
Jan 21, 2016
1,596
1,677
Habari wanaJF,

Nina ndugu yangu ana Laptop aina ya DELL LATITUDE D620 imepata tatizo kidogo ukiiwasha inaleta message kuwa "Memory Address line Failure 03CCF680" naomba solution ya hili tatizo.
 
Angalia Kama RAM imekaa sawa kwenye socket zake ikiwezekana zima PC chomoa RAM alafu fanya Kama jnaiwasha bila Kurudishia RAM kwa muda, chomoa Tena power cable Kisha rudishia RAM itakuwa sawa
 
Angalia Kama RAM imekaa sawa kwenye socket zake ikiwezekana zima PC chomoa RAM alafu fanya Kama jnaiwasha bila Kurudishia RAM kwa muda, chomoa Tena power cable Kisha rudishia RAM itakuwa sawa
Fanya hivyo mkuu lakini tatizo bado lipo,
 
Back
Top Bottom