Msaada jamani

Abdclassic

Member
Jul 13, 2017
85
35
Laptop yangu ya Toshiba nikiplay game inaniandikia Cannot find 648*480 Video Mode nimejaribu kubadili window lakini bado
 
Inawezekana screen Resolution (graphics) ya Pc yko ni ndogo kuliko uwezo wa game
Axah toshiba old model nying zina radeon graphics za uwezo wa chini game kubwa az support kabisaaa
 
Back
Top Bottom